Psalms 135:9-12


9 aAlipeleka ishara zake na maajabu katikati yako, ee Misri,
dhidi ya Farao na watumishi wake wote.

10 bAliyapiga mataifa mengi,
na akaua wafalme wenye nguvu:

11 cMfalme Sihoni na Waamori,
Ogu mfalme wa Bashani
na wafalme wote wa Kanaani:

12 dakatoa nchi yao kuwa urithi,
urithi kwa watu wake Israeli.

Copyright information for SwhKC